fbpx

Jinsi Dinestle Dereva inavyofanya kazi.

Anza Kazi

Bofya “Kazini” ili uanze kupokea maagizo katika eneo lako sasa.

Kukubali Kazi

Tutatuma kazi zako kiotomatiki na umbali kamili na malipo kamili. Bofya tu “Kubali” na ni yako.

Pakuchukua na Pakuacha

Maagizo ya ndani ya programu yatakuongoza kutoka pakuchukua ili kuifikisha kwa mteja.

Pata Malipo

Malipo ya usafiri na kazi utalipwa moja kwa moja na mteja, pia Dinestle inatoa bonasi kwa madereva wetu.

Pakua App Kujiunga Nasi

Start typing and press Enter to search

Shopping Cart